
Die multidisziplinäre Künstlerin und Forscherin arbeitet derzeit an einem künstlerischen Forschungsprojekt zu Sisalplantagen, deren Veränderung in deutschen Haushalten und eine Entwirrung ihrer tiefen kolonialen Verstrickung. Die Tansanierin lebt in Berlin.
Msanii na mtafiti wa nyanja mbalimbali, kwa sasa anafanya mradi wa utafiti wa kisanaa kuhusu mashamba ya mkonge na mabadiliko yake katika nyumba za Kijerumani, akifuatilia mtandao wa kikoloni uliojificha katika maeneo ya ndani ya Kijerumani, ikiwa ni pamoja na magari ya Mercedes Benz, Audi au BMW. M-Tanzania huyu anaishi Berlin.
The multi-disciplinary artist and researcher is currently working on an artistic research project around sisal plantations, their mutation in German households and untangling their deep colonial roots. The Tanzanian is based in Berlin.
Contribution: Tanga Sisal
Über die kolonialen Wurzeln der Pflanze
Ujifunze Historia Ya Mkonge
Learn More About the Plant’s Colonial Roots
Contact: