
Mariam Gichan Athman lebt in Mwanza und arbeitet als freiberufliche Journalistin und Kommunikationspraktikerin mit einer Leidenschaft für Storytelling und Gleichberechtigung. Mit einem Hintergrund in Archäologie und Kommunikation erforscht sie in ihrer Arbeit koloniales Erbe, Archäologie und Menschenrechte.
Mariam Gichan Athman, mkazi wa Mwanza, anafanya kazi kama mwandishi wa habari anayejitegemea na mtaalamu wa mawasiliano mwenye shauku ya kusimulia hadithi na usawa wa binadamu. Kwa kuwa na historia ya masomo ya akiolojia na mawasiliano ya umma, kazi yake inachunguza urithi wa kikoloni, akiolojia na haki za binadamu.
Mariam Gichan Athman, based in Mwanza, works as a freelance journalist and communications practitioner passionate about storytelling and equality for humanity. With a background in archaeology and communication, her work explores colonial legacies, archaeology, and human rights.
Contact:


