
Übersetzung / Tafsiri / Translation
Dyoniz Kindata ist Medienliteraturhistoriker und promoviert derzeit über Deutsche und Swahili Kolonialzeitungen in Deutsch-Ostafrika an der Leuphana-Universität. Außerdem arbeitet er als Swahili-Lehrer.
Dyoniz Kindata ni mwanahistoria wa fasihi ya vyombo vya habari na kwa sasa anasomea shahada ya uzamivu kuhusu magazeti ya Kikoloni ya Kijerumani na Kiswahili katika Afrika ya Mashariki ya Kijerumani katika Chuo Kikuu cha Leuphana. Pia anafanya kazi kama mwalimu wa Kiswahili.
Dyoniz Kindata is a media literature historian and is currently completing his doctorate on German and Swahili colonial newspapers in German East Africa at Leuphana University. He also works as a Swahili teacher.
Contact: