
Jimson Sanga arbeitet als Dozent für Kulturanthropologie und Tourismus an der Universität von Iringa. Bei Iringa Boma und der NGO Fahari Yetu ist er als Geschäftsführer tätig. Mit seinem Forschungshintergrund in Ethnomusikologie liegt ein Schwerpunkt seiner Arbeit auf der Kommerzialisierung regionaler Musik und Tänze zu tragfähigen Tourismusprodukten.
Jimson Sanga ni Mhadhiri wa Anthropolojia ya Utamaduni na Utalii katika Chuo Kikuu cha Iringa. Pia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Iringa Boma na shirika la Fahari Yetu. Kwa historia ya utafiti katika Ethnomusicology, moja ya mambo makuu anayoyazingatia ni uuzaji wa kibiashara wa muziki wa kanda na ngoma kuwa bidhaa za utalii.
Jimson Sanga works as Lecturer in Cultural Anthropology and Tourism at the University of Iringa. At Iringa Boma and the NGO Fahari Yetu he is working as Managing Director. With his research background in Ethnomusicology one major focus of his work is the commercialization of regional music and dance into viable tourism products.
Contact:


