
Das nehme ich mit:
Ninachojichukulia kutoka kwenye kitabu hiki ni:
What I take away from this:
Diese besondere Begegnung oder wichtiges Gespräch hatte ich:
Tafakari yangu ya kina ilikuwa kwa mambo haya :
I had this special encounter or important conversation:
Mein Aha-Moment:
Mambo haya yalinichekesha/kunifurahisha:
My ‘aha’ moment:
Das habe ich gelernt bzw. das war mir neu:
Hiki ndicho nilichojifunza au kilikuwa kipya kwangu:
What I learned or what was new to me:
An diesen Gedanken habe ich geknabbert:
Hili ndilo wazo nililokuwa nikilitafakari kwa muda:
I pondered this thought:
Diese Person oder dieses Gebäude (in Tansania oder Deutschland) sehe ich nun kritisch(er):
Sasa ninamtazama mtu huyu au jengo hili (nchini Tanzania au Ujerumani) kwa umakini zaidi:
I now view this person or building (in Tanzania or Germany) more critically:
Mir Unmut bereitet oder inneren Widerstand ausgelöst hat:
Hili lililoniletea kero au lililoibua upinzani:
What caused me displeasure or inner resistance:
Dazu möchte ich mehr erfahren:
Kuhusu hili ningependa kujua zaidi:
I would like to learn more about this:
Diese Lernreise hat mich verändert, dahingehend, dass:
Safari hii ya kujifunza imenibadilisha kwa namna hii:
This learning journey has changed me in that:
Das nehme ich mir vor für zukünftige Reisen:
Hili ndilo ninajipangia kwa safari zijazo:
This is what I plan to do for future trips:
Das ändere ich im Alltag:
Hili ndilo nitakalobadilisha katika maisha ya kila siku:
This is what I will change in my everyday life: