Usuli wa historia ya ukoloni na utalii nchini Tanzania, vidokezo vya usafiri endelevu, na msukumo
Kabla kuanza safari yako ya kujifunza, jibu maswali:

- Je, una ujuzi gani kuhusu tamaduni na historia ya Tanzania na unajua nini kuhusu Afrika Mashariki kabla ya ukoloni?
- Je, hujui nini – na kwa nini?

Kumbukumbu za Ukoloni wa Deutsch-Ostafrika Nchini Ujerumani
Henriette Seydel

Kutafakari fursa/upendeleo apatao mtu mweupe kutoka Ujerumani
Henriette Seydel

Kujitolea Kunakoletea Tija? – Huduma za Kujitolea
Anna Mehlhorn

Kuondoa Ukoloni Katika Utalii na Usafiri Tanzania
Delphine Kessy
“Kuondoa Ukoloni Katika Utalii” kwako inamaanisha nini?
Je, ni hatua gani ya kidekolonia utaichukua katika safari yako ijayo? Na nini tayari unazingatia?



